Hizi hapa Nafasi za Daktari Daraja la II – TGHS E | Ajira Mpya Kada ya Afya December 2024 zilizo tangazwa na Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa kwa kushirikiana na Wizara ya afya inaendelea na utekelezaji wa mpango wa uwekezaji katika afya ya mama na mtoto nchini Tanzania yaani Tanzania Maternal and Child Health Investment Program (TMCHIP) unaofadhiliwa na Benki ya Dunia,
Waombaji wanapaswa kuwa na:
Waombaji wanaombwa kuhakikisha nyaraka zote zinazohitajika zimeambatanishwa kabla ya kutuma maombi.
Tuma maombi hapa
Daktari Daraja la II – TGHS E
Sifa za Waombaji:Waombaji wanapaswa kuwa na:
- Shahada ya Udaktari wa Binadamu
- Iwe imetolewa na Vyuo Vikuu au Vyuo vinavyotambuliwa na Serikali.
- Wawe wamemaliza mafunzo ya kazi (Internship) ya muda usiopungua mwaka mmoja.
- Usajili Rasmi
- Usajili kutoka Baraza la Madaktari Tanganyika (Medical Council of Tanganyika).
- Leseni Hai
- Leseni ya utendaji kutoka Baraza la Madaktari Tanganyika (Medical Council of Tanganyika).
Waombaji wanaombwa kuhakikisha nyaraka zote zinazohitajika zimeambatanishwa kabla ya kutuma maombi.
Tuma maombi hapa