Nafasi za Kazi MDH Novemba 2024 | Ajira Mpya 332 za Kujitolea

Nafasi za Kazi MDH Novemba 2024 | Ajira Mpya 332 za Kujitolea 08 Novemba 2024

Orodha ya majina ya wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na kidato cha tano au Jinsi ya kuangalia selection za form six selection 2026 Tamisemi
Bonyeza hapo juu kujiunge na Group la Form Six Selection 2026 hapa

Gift

Administrator

Staff member
Reputation: 100%
Joined
Oct 19, 2024
Messages
1,648
Gift submitted a new resource:

Nafasi za Kazi MDH Novemba 2024 | Ajira Mpya 332 za Kujitolea - Tangazo la Nafasi za Kazi MDH Novemba 2024 | Ajira Mpya 332 za Kujitolea PDF Recruitment Portal.

Hizi hapa Nafasi za Kazi MDH Novemba 2024 | Ajira Mpya 332 za Kujitolea Maombi yawasilishwe katika ofisi za halmashauri husika kabla ya tarehe 15 Novemba, 2024.

Management and Development for Health (MDH) ni shirika lisilo la kiserikali ambalo lengo lakekuu ni kuchangia na kushughulikia vipaumbele vya huduma za Afya kwa umma kwa ajili ya ustawiwa jamii. Vipaumbele hivi ni pamoja na kuzuia kuenea kwa magonjwa ya kuambukiza kama vileVVU/UKIMWI, Kifua Kikuu na Malaria, kutekeleza huduma...

Read more about this resource...
 
Back
Top Bottom