Gift submitted a new resource:
NAFASI ZA KAZI SENAPA SACCOS LTD JANUARI 2025 - Tangazo la Ajira mpya kutoka SENAPA SACCOS LTD
Read more about this resource...
NAFASI ZA KAZI SENAPA SACCOS LTD JANUARI 2025 - Tangazo la Ajira mpya kutoka SENAPA SACCOS LTD
SENAPA SACCOS LTD nichama cha Ushirika wa Akiba na Mikopo cha wafanyakazi wa Shirika la Hifadhi za Taifa Tanzania kilichopo katika Hifadhi ya Taifa Serengeti. Chama hiki kilianzishwa kupitia sheria namba 06ya mwaka 2013. SENAPA SACCOS LTD kinatangaza nafasi ya kazi ya mhasibu wa chama kwa mwenye sifa zifuatazo,
Read more about this resource...