SENAPA SACCOS LTD nichama cha Ushirika wa Akiba na Mikopo cha wafanyakazi wa Shirika la Hifadhi za Taifa Tanzania kilichopo katika Hifadhi ya Taifa Serengeti. Chama hiki kilianzishwa kupitia sheria namba 06ya mwaka 2013. SENAPA SACCOS LTD kinatangaza nafasi ya kazi ya mhasibu wa chama kwa mwenye sifa zifuatazo,
Ajira
TAARIFA KUHUSU USAILI WA KADA ZA UALIMU 2024/2025 AJIRA PORTAL - UTUMISHI AJIRA ZA WALIMU 2025
Ajira za Ualimu 2025