Nafasi za Kazi Shirika la Save the Children

Nafasi za Kazi Shirika la Save the Children Ajira Mpya 2025

Bonyeza hapo kujiunga nasi kupata matangazo mbalimbali ya kazi.
Shirika la Save the Children ni shirika huru linaloongoza duniani kwa ajili ya watoto. Tunafanya kazi katika nchi 120.
Tunawaokoa watoto, tunapigania haki zao, na tunawasaidia kufikia uwezo wao kamili. Tunashirikiana na washirika wetu kuleta mabadiliko makubwa katika namna dunia inavyowatendea watoto, pamoja na kuhakikisha mabadiliko ya haraka na ya kudumu katika maisha yao.
Nafasi za Kazi Shirika la Save the Children


Download tangazo zima hapa chini kwenye PDF
 

Attachments

Similar threads Most view View more
Back
Top Bottom