Leo tarehe 26/10/2024 Sekretarieti ya Ajira imetangaza nafasi za kazi kupitia Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Missenyi amepokea Kibali cha Ajira Mpya kutoka kwa Katibu Mkuu – ofisi ya Rais Menejiment ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora kupitia baru ayenye Kumb. Na. FA.97/228/01/09 ya tarehe 25.06.2024. Hivyo anakaribisha maombi ya kazi kutoka kwa Watanzania wenye sifa za kujaza nafasi zifuatazo:-
Nafasi zilizo tangazwa
1. Dereva Daraja la II - Nafasi 3- Awe amehitimu Elimu ya kidato cha nne (IV) au sita (VI) awe na Lesseni ya Daraja la C au E ya uendeshaji wa magari ambayo amefanyia kazi kwa muda usiopungua mwaka mmoja bila kusababisha ajali.