Hili hapa tangazo la nafasi za kazi kukusanya Mapato Jiji la Arusha Kwa kuzingatia Mwongozo wa Kujitolea katika Utumishi wa Umma wa Mwaka 2025 ukisomwa Pamoja na Mwongozo wa Usimamizi wa Ukusanyaji Mapato katika Mamlaka za Serikali za Mitaa wa Julai, 2019. Mkurugenzi wa Halmashauri ya Jiji la Arusha anawatangazia Watanzania wenye sifa kuomba nafasi ya kazi ya kijitolea.
TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI MDAs 24-07-2026
AJIRA PORTAL