Nafasi za Masomo Chuo cha CBE March 2025

Nafasi za Masomo Chuo cha CBE March 2025 Ada, Sifa, Vigezo

Bonyeza hapo kujiunga nasi kupata matangazo mbalimbali ya kazi, Maswali ya Usaili.

Gift

Administrator

Staff member
Reputation: 100%
Joined
Oct 19, 2024
Messages
1,323
Mkuu wa Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE) anakaribisha maombi ya kujiunga na Chuo katika kampasi za Dar es Salaam, Dodoma, Mwanza na Mbeya kwa masomo yatakayoanza mwezi MACHI 2025 katika ngazi za Stashahada ya Uzamili (Postgraduate Diploma) na Shahada ya Umahiri (Mastesrs Degree). Mfumo wa ufundishaji utakuwa ni usomaji kwa njia ya Mtandaoni (Online Learning System).
Nafasi za Masomo Chuo cha CBE March 2025

Nafasi za Masomo Chuo cha CBE March 2025 2026
 
Hatua za Kuuliza swali. Anza na Title ya swali kisha Chini yake weka maelezo kuhusu swali lako.
Back
Top Bottom