Nafasi za Mteknolojia (Maabara) Daraja la II | Ajira Mpya Kada ya Afya December 2024

Nafasi za Mteknolojia (Maabara) Daraja la II | Ajira Mpya Kada ya Afya December 2024

Orodha ya majina ya wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na kidato cha tano au Jinsi ya kuangalia selection za form six selection 2026 Tamisemi
Bonyeza hapo juu kujiunge na Group la Form Six Selection 2026 hapa

Gift

Administrator

Staff member
Reputation: 100%
Joined
Oct 19, 2024
Messages
1,648
Hizi hapa Nafasi za Mteknolojia (Maabara) Daraja la II | Ajira Mpya Kada ya Afya December 2024 zilizo tangazwa na Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa kwa kushirikiana na Wizara ya afya inaendelea na utekelezaji wa mpango wa uwekezaji katika afya ya mama na mtoto nchini Tanzania yaani Tanzania Maternal and Child Health Investment Program (TMCHIP) unaofadhiliwa na Benki ya Dunia,

Mteknolojia (Maabara) Daraja la II

Sifa za Waombaji:
Waombaji wanatakiwa kuwa na:
  1. Stashahada katika Fani ya Uteknolojia wa Maabara ya Afya
    • Diploma in Health Laboratory Sciences ya muda wa miaka mitatu kutoka Chuo kinachotambuliwa na Serikali.
    • Wawe wametolewa usajili na Baraza la Wataalamu wa Maabara za Afya (Health Laboratory Practitioners’ Council).
  2. Leseni Hai
    • Leseni ya utendaji kutoka Baraza la Wataalamu wa Maabara za Afya (Health Laboratory Practitioners’ Council).
Maelezo ya Ziada:
Waombaji wanashauriwa kuhakikisha wanakamilisha mahitaji yote kabla ya kutuma maombi yao.
Tuma maombi hapa
 
Back
Top Bottom