G

Nafasi za Mteknolojia Msaidizi (Dawa) | Ajira Mpya Kada ya Afya December 2024

GiftVerified member

Administrator

Staff member
Reputation: 88%
Joined
Oct 19, 2024
Messages
612
Hizi hapa Nafasi za Mteknolojia Msaidizi (Dawa) | Ajira Mpya Kada ya Afya December 2024 zilizo tangazwa na Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa kwa kushirikiana na Wizara ya afya inaendelea na utekelezaji wa mpango wa uwekezaji katika afya ya mama na mtoto nchini Tanzania yaani Tanzania Maternal and Child Health Investment Program (TMCHIP) unaofadhiliwa na Benki ya Dunia.

Mteknolojia Msaidizi (Dawa)

Sifa za Waombaji:
Waombaji wanatakiwa kuwa na:
  1. Cheti cha Teknolojia ya Dawa
    • Cheti cha miaka miwili katika fani ya teknolojia ya dawa kutoka Chuo kinachotambuliwa na Serikali.
    • Wawe wahitimu wa kidato cha nne.
    • Wawe wametolewa usajili na Baraza lao la Taaluma.
Maelezo ya Ziada:
Waombaji wanashauriwa kuhakikisha wanakamilisha mahitaji yote kabla ya kutuma maombi yao.
Tuma maombi hapa ajira za Afya
 
Back
Top Bottom