Hizi hapa Nafasi za Mteknolojia Msaidizi Maabara – TGHS A | Ajira Mpya Kada ya Afya December 2024 zilizo tangazwa na Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa kwa kushirikiana na Wizara ya afya inaendelea na utekelezaji wa mpango wa uwekezaji katika afya ya mama na mtoto nchini Tanzania yaani Tanzania Maternal and Child Health Investment Program (TMCHIP) unaofadhiliwa na Benki ya Dunia,
Waombaji wanatakiwa kuwa na:
Maelezo ya Ziada:
Waombaji wanashauriwa kuhakikisha wanakamilisha mahitaji yote kabla ya kutuma maombi yao.
Tuma maombi hapa
Mteknolojia Msaidizi Maabara – TGHS A
Sifa za Waombaji:Waombaji wanatakiwa kuwa na:
- Astashahada katika Fani ya Uteknolojia wa Maabara ya Afya
- Certificate in Health Laboratory Science ya muda wa miaka miwili kutoka Chuo kinachotambuliwa na Serikali.
- Wawe wametolewa usajili na Baraza la Wataalamu wa Maabara za Afya (Health Laboratory Practitioners’ Council).
- Leseni Hai
- Leseni ya utendaji kutoka Baraza la Wataalamu wa Maabara za Afya (Health Laboratory Practitioners’ Council).
Maelezo ya Ziada:
Waombaji wanashauriwa kuhakikisha wanakamilisha mahitaji yote kabla ya kutuma maombi yao.
Tuma maombi hapa