Nafasi za Mteknolojia Msaidizi Maabara – TGHS A | Ajira Mpya Kada ya Afya December 2024

Nafasi za Mteknolojia Msaidizi Maabara – TGHS A | Ajira Mpya Kada ya Afya December 2024

Haya hapa Matokeo ya Kidato cha Sita TUNDURU SECONDARY SCHOOL 2026-S0404 yaliyotangazwa na Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA) Katika Mtihani wa Form six (ACSEE) 2026/2027 jumla ya wanafunzi wengi wamefaulu.
Bonyeza hapo juu kujiunge na Group la wanachuo waliomaliza kidato cha sita 2026 hapa baada ya matokeo ya form six 2026

Gift

Administrator

Staff member
Reputation: 100%
Joined
Oct 19, 2024
Messages
1,737
Hizi hapa Nafasi za Mteknolojia Msaidizi Maabara – TGHS A | Ajira Mpya Kada ya Afya December 2024 zilizo tangazwa na Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa kwa kushirikiana na Wizara ya afya inaendelea na utekelezaji wa mpango wa uwekezaji katika afya ya mama na mtoto nchini Tanzania yaani Tanzania Maternal and Child Health Investment Program (TMCHIP) unaofadhiliwa na Benki ya Dunia,

Mteknolojia Msaidizi Maabara – TGHS A

Sifa za Waombaji:
Waombaji wanatakiwa kuwa na:
  1. Astashahada katika Fani ya Uteknolojia wa Maabara ya Afya
    • Certificate in Health Laboratory Science ya muda wa miaka miwili kutoka Chuo kinachotambuliwa na Serikali.
    • Wawe wametolewa usajili na Baraza la Wataalamu wa Maabara za Afya (Health Laboratory Practitioners’ Council).
  2. Leseni Hai
    • Leseni ya utendaji kutoka Baraza la Wataalamu wa Maabara za Afya (Health Laboratory Practitioners’ Council).
Nafasi za Mteknolojia Msaidizi Maabara – TGHS A | Ajira Mpya Kada ya Afya December 2024

Maelezo ya Ziada:
Waombaji wanashauriwa kuhakikisha wanakamilisha mahitaji yote kabla ya kutuma maombi yao.
Tuma maombi hapa
 
Back
Top Bottom