Hizi hapa Nafasi za Muuguzi Daraja la II | Ajira Mpya Kada ya Afya December 2024 zilizo tangazwa na Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa kwa kushirikiana na Wizara ya afya inaendelea na utekelezaji wa mpango wa uwekezaji katika afya ya mama na mtoto nchini Tanzania yaani Tanzania Maternal and Child Health Investment Program (TMCHIP) unaofadhiliwa na Benki ya Dunia,
Waombaji wanatakiwa kuwa na:
Waombaji wanashauriwa kuhakikisha wanakamilisha mahitaji yote kabla ya kutuma maombi yao.
Tuma maombi Tamisemi hapa
Muuguzi Daraja la II
Sifa za Waombaji:Waombaji wanatakiwa kuwa na:
- Cheti cha Uuguzi
- Cheti cha Uuguzi cha miaka miwili kutoka Chuo kinachotambuliwa na Serikali.
- Kuandikishwa (Enrolled) na Baraza la Uuguzi na Ukunga Tanzania (Tanzania Nurse and Midwifery Council).
- Leseni Hai
- Leseni ya utendaji kutoka Baraza la Uuguzi na Ukunga Tanzania (Tanzania Nurse and Midwifery Council).
Waombaji wanashauriwa kuhakikisha wanakamilisha mahitaji yote kabla ya kutuma maombi yao.
Tuma maombi Tamisemi hapa