Namna ya kupata kazi kulingana na GPA yako

Namna ya kupata kazi kulingana na GPA yako

Haya hapa Matokeo ya Kidato cha Sita TUNDURU SECONDARY SCHOOL 2026-S0404 yaliyotangazwa na Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA) Katika Mtihani wa Form six (ACSEE) 2026/2027 jumla ya wanafunzi wengi wamefaulu.
Bonyeza hapo juu kujiunge na Group la wanachuo waliomaliza kidato cha sita 2026 hapa baada ya matokeo ya form six 2026
Nahisi ni ujipange vizuri tu kisaikolojia, Siku hizi mambo ya GPA hayazingatiwi mkuu. Kama unaomba nafasi katika kampuni hakikisha tu CV yako iko vizuri kila kipengele kiwe professional, Kama unaomba ajira katika matangazo ya Serikali hakikisha tu unakila kitu kinacho hitajika kulingana na tangazo husika. Mara nyingi huwa ni cheti cha kuzaliwa, Transcipt, Vyeti vya Chuo, Cheti cha form four, vyeti vyote hivyo viwe vimehakikiwa yaani viwe vimepita kwa mwanasheria.
@##kassim
 
Mambo ya kuangalia huyu kapata ngapi yashapitwa na wakati ingawa kuna matangazo yanakuwa yanataka angalau uwe na GPA nzuri wataitaja kama kigezo ila haizingatiwi sanaaa.
Wadau watakuongezea mengine hapa chini.
 
Similar content Most view View more
Back
Top Bottom