Walioitwa kwenye interview Wasailiwa wote mlioitwa kwenye usaili wa tarehe 23 hadi 25 Aprili 2025, mnatakiwa kuingia kwenye akaunti zenu za AJIRA PORTAL katika eneo la PERSONAL DETAILS na kisha angalia eneo la CURRENT RESIDENT REGION – Mkoa unaoonekana hapo ndio utaamua ni kanda ipi utafanyia usaili,
Mfano; Kama upo Mkoa wa Dar es Salaam, Morogoro, Pwani, Lindi na Mtwara usaili wako utafanyia Mkoa wa Dar es Salaam. Na kama upo Mkoa wa Mbeya, Songwe, Rukwa, Katavi, Ruvuma na Njombe usaili wako utafanyia Mkoa wa Mbeya.
Hakikisha unakwenda kwenye Kanda yenye Mkoa wako, Mpangilio wa mgawanyo...