S

Ofisi za NHIF Bima ya Afya Dodoma ziko wapi?

NECTA MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2025 SHULE ZOTE BONYEZA HAPA
Bonyeza hapo kujiunga nasi kupata matangazo mbalimbali ya kazi, Maswali ya Usaili.
Ofisi ya Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) Dodoma ipo Jengo la NHIF, Tambukareli, Barabara ya Jakaya Kikwete, Ghorofa ya Chini +255 26 2963887/8, +255 737 708749 au 0800 111 163 - Kwa kutoa taarifa za siri za udanganyifu dhidi ya Mfuko S.L.P 2221 [email protected]
 
Back
Top Bottom