Ofisi ya Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) Morogoro ipo Jengo la Kenya Commercial Bank (KCB), Ghorofa ya Pili, Barabara ya Boma, +255 733 242 199 au 0800 111 163 - Kwa kutoa taarifa za siri za udanganyifu dhidi ya Mfuko S.L.P 955 [email protected]