S Sia Moderator Staff member Reputation: 87% Joined Oct 20, 2024 Messages 776 Apr 27, 2025 #1 Naomba msaada kwa anayejua zilipo ofisi za NHIF Tanga Ofisi za Bima ya Afya ziko wapi ni sehemu gani zinapatikana? S Ofisi za NHIF Bima ya Afya Pwani ziko wapi? S Ofisi za NHIF Bima ya Afya Rukwa ziko wapi?
Naomba msaada kwa anayejua zilipo ofisi za NHIF Tanga Ofisi za Bima ya Afya ziko wapi ni sehemu gani zinapatikana? S Ofisi za NHIF Bima ya Afya Pwani ziko wapi? S Ofisi za NHIF Bima ya Afya Rukwa ziko wapi?
G Gift Administrator Staff member Reputation: 100% Joined Oct 19, 2024 Messages 1,575 Apr 27, 2025 #2 Ofisi ya Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) Tanga ipo Jengo la Old Revenue, Ghorofa ya Chini, Mtaa wa Swahili, +255 27 26454156 au 0800 111 163 - Kwa kutoa taarifa za siri za udanganyifu dhidi ya Mfuko S.L.P 5486 [email protected] Upvote 0 Downvote
Ofisi ya Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) Tanga ipo Jengo la Old Revenue, Ghorofa ya Chini, Mtaa wa Swahili, +255 27 26454156 au 0800 111 163 - Kwa kutoa taarifa za siri za udanganyifu dhidi ya Mfuko S.L.P 5486 [email protected]