Orodha ya Majina Walioitwa Kazini Utumishi na Ajira Portal (PSRS) | Taasisi Mbalimbali | Kada

Orodha ya Majina Walioitwa Kazini Utumishi na Ajira Portal (PSRS) | Taasisi Mbalimbali | Kada 08 Novemba 2024

Hatua za Kuuliza swali. Anza na Title ya swali kisha Chini yake weka maelezo kuhusu swali lako.
NB: HATUJIHUSISHI NA VITU VINGINE ISIPOKUWA AJIRA.
Bonyeza hapo kujiunga nasi kupata matangazo mbalimbali ya kazi, Maswali ya Usaili.

Gift

Administrator

Staff member
Reputation: 100%
Joined
Oct 19, 2024
Messages
1,576
Gift submitted a new resource:

Orodha ya Majina Walioitwa Kazini Utumishi na Ajira Portal (PSRS) | Taasisi Mbalimbali | Kada - Kuitwa kazini Utumishi na Ajira Portal (PSRS) | Taasisi Mbalimbali za Umma | Kada PDF leo.

Hii hapa Orodha ya Majina Walioitwa Kazini Utumishi na Ajira Portal (PSRS) | Taasisi Mbalimbali | Kada Tangazo la Matokeo ya Usaili kwa Waombaji Kazi PSRS 2024.

Kuitwa kazini utumishi na ajira portal
Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma anawaarifu waombaji wa nafasi mbalimbali waliofanya usaili kati ya tarehe 17 Agosti 2023 na 28 Mei 2024 kuwa matokeo ya usaili yamechapishwa rasmi. Matokeo haya yanajumuisha waombaji...

Read more about this resource...
 
Back
Top Bottom