M Masini Masini New member Reputation: 1% Joined Mar 10, 2025 Messages 1 Mar 24, 2025 #1 Samahani, hivi kwa haraka haraka maswali ya written interview ya tra yanaweza kuwa ya kuchagua au kujieleza? M Mbona hamtumi post za ajira ya kada ya records management watunza kumbu kumbu F Niliweka cheti kimakosà ajira portal nashindwa kukifuta na kufanya maombi ya kazi
Samahani, hivi kwa haraka haraka maswali ya written interview ya tra yanaweza kuwa ya kuchagua au kujieleza? M Mbona hamtumi post za ajira ya kada ya records management watunza kumbu kumbu F Niliweka cheti kimakosà ajira portal nashindwa kukifuta na kufanya maombi ya kazi
S Sia Moderator Staff member Reputation: 42% Joined Oct 20, 2024 Messages 353 Mar 24, 2025 #2 Masini Masini said: Samahani, hivi kwa haraka haraka maswali ya written interview ya tra yanaweza kuwa ya kuchagua au kujieleza? Click to expand... Maswali inakuwa ni multiple choices (kuchagua) Upvote 0 Downvote
Masini Masini said: Samahani, hivi kwa haraka haraka maswali ya written interview ya tra yanaweza kuwa ya kuchagua au kujieleza? Click to expand... Maswali inakuwa ni multiple choices (kuchagua)