M Masini Masini New member Reputation: 1% Joined Mar 10, 2025 Messages 1 Mar 24, 2025 #1 Samahani, hivi kwa haraka haraka maswali ya written interview ya tra yanaweza kuwa ya kuchagua au kujieleza? Mbona hamtumi post za ajira ya kada ya records management watunza kumbu kumbu Niliweka cheti kimakosà ajira portal nashindwa kukifuta na kufanya maombi ya kazi
Samahani, hivi kwa haraka haraka maswali ya written interview ya tra yanaweza kuwa ya kuchagua au kujieleza? Mbona hamtumi post za ajira ya kada ya records management watunza kumbu kumbu Niliweka cheti kimakosà ajira portal nashindwa kukifuta na kufanya maombi ya kazi
S Sia Moderator Staff member Reputation: 100% Joined Oct 20, 2024 Messages 1,607 Mar 24, 2025 #2 Masini Masini said: Samahani, hivi kwa haraka haraka maswali ya written interview ya tra yanaweza kuwa ya kuchagua au kujieleza? Click to expand... Maswali inakuwa ni multiple choices (kuchagua) Upvote 0 Downvote
Masini Masini said: Samahani, hivi kwa haraka haraka maswali ya written interview ya tra yanaweza kuwa ya kuchagua au kujieleza? Click to expand... Maswali inakuwa ni multiple choices (kuchagua)
A AMMA New member Joined Jan 19, 2026 Messages 3 Jan 19, 2026 #3 Mwenye maswali ya laboratory assistant please naomba msaada Upvote 0 Downvote
S Sia Moderator Staff member Reputation: 100% Joined Oct 20, 2024 Messages 1,607 Jan 20, 2026 #4 AMMA said: Mwenye maswali ya laboratory assistant please naomba msaada Click to expand... Unaweza tengeneza new post kwenye msaada na watakusaidia. Upvote 0 Downvote
AMMA said: Mwenye maswali ya laboratory assistant please naomba msaada Click to expand... Unaweza tengeneza new post kwenye msaada na watakusaidia.