Waliochaguliwa kidato cha tano 2026 TAMISEMI imetangaza rasmi orodha ya Waliochaguliwa kujiunga form five 2026-27 pamoja na Vyuo vya Kati kwa mwaka wa masomo 2026/2027 leo tarehe 1 June, 2026. Wanafunzi na wazazi sasa wanaweza kuangalia majina ya waliochaguliwa, maarufu kama "Waliochaguliwa Kidato cha Tano na Vyuo vya Kati 2026." pamoja na Shule Walizopangiwa form five 2026 Mikoa Yote hii hapa
Tangazo hili ni hatua muhimu kwa wanafunzi wanaohamia kutoka elimu ya Sekondari ya Awali (O-Level) kwenda Sekondari ya Juu (A-Level) hapa nchini Tanzania. Hii ni ishara ya juhudi za wanafunzi pamoja na dhamira ya serikali kuendeleza ubora wa elimu.
Wanafunzi wanahimizwa kuangalia majina yao mapema na kujiandaa kwa safari mpya ya kitaaluma. Hongera kwa wote waliopata nafasi ya kuendelea na masomo yao!
Angalia hapa selection za kidato cha tano 2026.

Shule Walizopangiwa Kidato cha Tano 2026 Mikoa Yote hii hapa
Selection form five