Sifa za Kujiunga na Diploma ya Maendeleo ya Jamii Chuo cha LGTI Hombolo

Sifa za Kujiunga na Diploma ya Maendeleo ya Jamii Chuo cha LGTI Hombolo Ada za Vigezo

Orodha ya majina ya wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na kidato cha tano au Jinsi ya kuangalia selection za form six selection 2026 Tamisemi
Bonyeza hapo juu kujiunge na Group la Form Six Selection 2026 hapa
Sifa za Kujiunga na Diploma ya Maendeleo ya Jamii Chuo cha LGTI Hombolo Local Government Training Institute Hombolo Chuo cha Serikali za Mitaa.
Sifa za Kujiunga na Diploma ya Maendeleo ya Jamii Chuo cha LGTI Hombolo

Mahitaji ya Kujiunga: Wenye cheti cha kidato cha nne (CSEE) na alama angalau nne za kufaulu kwenye masomo yasiyo ya kidini.

Muda wa Programu: Miaka 3.

Uwezo wa Kupokea: Wanafunzi 1,300.

Ada ya Masomo: Tsh. 915,000/= kwa wazawa, USD 1,200/= kwa wageni.

Mahitaji Mbadala: Wenye Cheti cha Msingi cha Ufundi (NTA Level 4) katika fani za Kazi za Jamii, Jinsia, Maendeleo ya Jamii, Usimamizi wa Rasilimali Watu, Sheria, Kilimo, Uuguzi AU wenye cheti cha kidato cha sita (ACSEE) na alama moja kuu (Principal) na moja ya nyongeza (Subsidiary).

Muda wa Programu: Miaka 2.

Kwa maelezo zaidi tembelea
 
Back
Top Bottom