Sifa za Kujiunga na Diploma ya Uuguzi na Ukunga Chuo cha Kahama School of Nursing and Midwifery

Sifa za Kujiunga na Diploma ya Uuguzi na Ukunga Chuo cha Kahama School of Nursing and Midwifery Ada, Vigezo, Mahitaj

Bonyeza hapo kujiunga nasi kupata matangazo mbalimbali ya kazi, Maswali ya Usaili.
Hizi hapa Sifa za Kujiunga na Diploma ya Uuguzi na Ukunga Chuo cha Kahama School of Nursing and Midwifery Tanzania
Sifa za Kujiunga na Diploma ya Uuguzi na Ukunga Chuo cha Kahama School of Nursing and Midwifery

Kozi: Diploma ya Kawaida ya Uuguzi na Ukunga

Vigezo vya Kujiunga
: Mwombaji anapaswa kuwa na Cheti cha Matokeo ya Kidato cha Nne (CSEE) chenye angalau ufaulu wa masomo manne (4) yasiyo ya kidini, ikiwemo Kemia, Baiolojia, na Fizikia/Hisabati za Uhandisi. Ufaulu wa ziada kwenye Hisabati za Msingi na Kiingereza utazingatiwa kama faida ya ziada.

Muda wa Kozi: Miaka 3

Idadi ya Wanafunzi: 60

Ada ya Masomo: Tsh 1,255,400/=
 
Hatua za Kuuliza swali. Anza na Title ya swali kisha Chini yake weka maelezo kuhusu swali lako.
Back
Top Bottom