- Joined
- Dec 12, 2024
- Messages
- 155
Kikosi Cha Yanga Leo saa kumi jioni kitashuka Dimbani KMC Complex kumenyana na Mashujaa (Mapigo na mwendo), Yanga watacheza mchezo Wao wa kumi na mbili "12" kunako Ligi kuu Nbc Tanzania huku wakiwa na Alama 27 nafasi ya Nne.
Daktari wa klabu ya Yanga Moses Etutu amelishauri bechi la ufundi la klabu ya Yanga kutomutumia golikipa namba moja wa kikosi hicho Djigui Diarra kwa mwezi mmoja ili afanyiwe matibabu apone kabsa kwani kumtumia mchezaji huyo akiwa na majeraha wanaweza kumkosa kwa muda mrefu.
Diarra akiwa nje ya uwanja kwa mwezi mmoja atakosa michezo yote mitatu ya klabu bingwa Afrika (CAF Champion League) dhidi ya TP Mazembe January 03 (Home) dhidi ya Al Hilal January 10 (Away) dhidi ya MC Alger January 17 (Home) anaweza kurejea kwenye mchezo wa ligi kuu ya NBC dhidi ya Kengold January 22 (Home).
Mashujaa Fc wanashuka Dimbani Leo (ugenini) huku wakiwa katika nafasi ya Saba "7" na Alama zao 19 wakiwa wamecheza michezo 14 na huu wa Leo wanakamilisha mzunguko wa kwanza Kwa upande Wao.
Ikumbukwe Msimu ulioisha 2023/2024 Mashujaa Fc walicheza mchezo Wao dhidi ya Yanga (Ugenini) na kufungwa Goli Moja tu ambalo lilifungwa katika dakika za mwisho kabisa 88'.