Takwimu Za Pacome Mpaka Sasa Yanga

Takwimu Za Pacome Mpaka Sasa Yanga

Bonyeza hapo kujiunga nasi kupata matangazo mbalimbali ya kazi, Maswali ya Usaili.

Revoo

Member

Reputation: 22%
Joined
Dec 12, 2024
Messages
194
Pacôme Zouzoua amehusika moja kwa moja katika mabao sita kwenye mechi zake tano za mwisho katika NBC Premier League.

Vs. Namungo - ⚽
Vs. Mashujaa - 🅰️
Vs. Tanzania Prisons - 🅰️
Vs. Dodoma Jiji - 🅰️
Vs. Fountain Gate - ⚽⚽
FB_IMG_1735548181659.webp


Ndiye mchezaji wa tatu wa Young Africans kufunga mabao 5+ katika NBC Premier League msimu huu.

⚽ 6 — Walid Mzize
⚽ 5 — Price Dube
⚽ 5 — Pacôme Zouzoua

Timu zenye wachezaji wengi zaidi waliofunga mabao matano ama zaidi katika ligi 2024|25.

◉ 3 — Young Africans
◎ 2 — Simba Sports Club
◎ 2 — Fountain Gate
 
Hatua za Kuuliza swali. Anza na Title ya swali kisha Chini yake weka maelezo kuhusu swali lako.
Back
Top Bottom