Hii hapa orodha ya majina ya walioitwa kazini Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma anapenda kuwataarifu waombaji kazi wa nafasi mbalimbali waliofanya usaili kati ya tarehe 01-06-2025 na tarehe 27-01-2026 kuwa matokeo ya waombaji kazi waliofaulu usaili huo ni kama yalivyoorodheshwa katika tangazo hili. Orodha ya majina haya pia inajumuisha baadhi ya wasailiwa waliokuwa kwenye kanzidata (Database) kwa kada mbalimbali ambao wamepangiwa vituo vya kazi baada ya nafasi kupatikana
Pakua PDF hapa.
1. https://www.ajira.go.tz/baseattachm...0261505241452TANGAZO LA KUITWA KAZINI 15.pdf
2. https://www.ajira.go.tz/baseattachm...20261505181043TANGAZO LA KUITWA KAZINI 14.pdf
Pakua PDF hapa.
1. https://www.ajira.go.tz/baseattachm...0261505241452TANGAZO LA KUITWA KAZINI 15.pdf
2. https://www.ajira.go.tz/baseattachm...20261505181043TANGAZO LA KUITWA KAZINI 14.pdf