Hii hapa orodha ya majina ya walioitwa kwenye usaili Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya Halmashauri ya Wilaya ya Mbogwe anapenda kuwataarifu Waombaji Kazi wote walioomba kazi kuwa usaili unatarajiwa kuendeshwa kuanzia tarehe 19/06/2026 hadi 20/06/2026 hatimaye kuwapangia vituo vya kazi waombaji kazi watakaofaulu usaili huo. Wasailiwa wanaoitwa kwenye usaili wanapaswa kuzingatia maelekezo yafuatayo:-
Pakua PDF hapo chini.
Pakua PDF hapo chini.
Download PDF