Hili hapa tangazo la kuitwa kwenye usaili chuo kikuu cha Dar Es Salaam (UDSM) 21-04-2026 Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) anapenda kuwataarifu Waombaji Kazi wote walioomba kazi kuwa usaili unatarajiwa kuendeshwa kuanzia tarehe 02/05/2026 hadi 04/05/2026 hatimaye kuwapangia vituo vya kazi waombaji kazi watakaofaulu usaili huo. Wasailiwa wanaoitwa kwenye usaili wanapaswa kuzingatia maelekezo yafuatayo:-
Pakua PDF hapa.
Pakua PDF hapa.