TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI CHUO KIKUU CHA DAR ES SALAAM (UDSM) 21-04-2026

TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI CHUO KIKUU CHA DAR ES SALAAM (UDSM) 21-04-2026 AJIRA PORTAL

Bonyeza hapo kujiunga nasi kupata matangazo mbalimbali ya kazi, Maswali ya Usaili.
Hili hapa tangazo la kuitwa kwenye usaili chuo kikuu cha Dar Es Salaam (UDSM) 21-04-2026 Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) anapenda kuwataarifu Waombaji Kazi wote walioomba kazi kuwa usaili unatarajiwa kuendeshwa kuanzia tarehe 02/05/2026 hadi 04/05/2026 hatimaye kuwapangia vituo vya kazi waombaji kazi watakaofaulu usaili huo. Wasailiwa wanaoitwa kwenye usaili wanapaswa kuzingatia maelekezo yafuatayo:-

Pakua PDF hapa.
TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI CHUO KIKUU CHA DAR ES SALAAM (UDSM) 21-04-2026
 
Similar content Most view View more
Back
Top Bottom