Hili hapa la kuitwa kwenye usaili Halmashauri ya Wilaya ya liwale 14-11-2026 Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Liwale anapenda kuwataarifu Waombaji Kazi wote walioomba kazi kuwa usaili unatarajiwa kuendeshwa kuanzia tarehe 16/11/2026 hadi 19/11/2026 hatimaye kuwapangia vituo vya kazi waombaji kazi watakaofaulu usaili huo. Wasailiwa wanaoitwa kwenye usaili wanapaswa kuzingatia maelekezo yafuatayo:-
Angalia Majina ya walioitwa hapa
Angalia Majina ya walioitwa hapa