TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI MAMLAKA YA MAJISAFI NA USAFI WA MAZINGIRA MPANDA 05-08-2026

TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI MAMLAKA YA MAJISAFI NA USAFI WA MAZINGIRA MPANDA 05-08-2026 AJIRA PORTAL

Haya hapa Matokeo ya Kidato cha Sita TUNDURU SECONDARY SCHOOL 2026-S0404 yaliyotangazwa na Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA) Katika Mtihani wa Form six (ACSEE) 2026/2027 jumla ya wanafunzi wengi wamefaulu.
Bonyeza hapo juu kujiunge na Group la wanachuo waliomaliza kidato cha sita 2026 hapa baada ya matokeo ya form six 2026
Hili hapa tangazo la kuitwa kwenye usaili Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Mpanda (MPAUWASA) anapenda kuwataarifu Waombaji Kazi wote walioomba kazi kuwa usaili unatarajiwa kuendeshwa kuanzia tarehe 14/08/2026 hadi 24/08/2026 hatimaye kuwapangia vituo vya kazi waombaji kazi watakaofaulu usaili huo. Wasailiwa wanaoitwa kwenye usaili wanapaswa kuzingatia maelekezo yafuatayo:-

Pakua PDF hapa
TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI MAMLAKA YA MAJISAFI NA USAFI WA MAZINGIRA MPANDA 05-08-2026
 
Similar content Most view View more
Back
Top Bottom