TANGAZO LA WALIOITWA KWENYE USAILI JESHI LA MAGEREZA

TANGAZO LA WALIOITWA KWENYE USAILI JESHI LA MAGEREZA 12-11-2025

Hatua za Kuuliza swali. Anza na Title ya swali kisha Chini yake weka maelezo kuhusu swali lako.
NB: HATUJIHUSISHI NA VITU VINGINE ISIPOKUWA AJIRA.
Bonyeza hapo kujiunga nasi kupata matangazo mbalimbali ya kazi, Maswali ya Usaili.
Hili hapa tangazo la orodha ya majina ya walioitwa kwenye usailiKamishna Jenerali wa Jeshi la Magereza anawatangazia vijana walioomba ajira kupitia Mfumo wa Ajira wa Jeshi la Magereza (Tanzania Prisons Service Recruitment Management System (TPSRMS)), kwamba kutakuwa na usaili wa vijana waliokidhi vigezo vya awali. Usaili huo utafanyika Makao Makuu ya Jeshi la Magereza na kwenye Ofisi za Wakuu wa Magereza wa Mikoa kwa tarehe zilizoainishwa katika Tangazo hili. Usaili huo utaanza saa mbili kamili (02:00) asubuhi. Gharama za malazi, chakula na nauli, zitagharamiwa na wahusika.

Pakua PDF hapo chini.
TANGAZO LA WALIOITWA KWENYE USAILI JESHI LA MAGEREZA
 

Download PDF

Back
Top Bottom