- Views: 3K
- Replies: 1
Hili hapa tangazo la orodha ya majina ya walioitwa kwenye usailiKamishna Jenerali wa Jeshi la Magereza anawatangazia vijana walioomba ajira kupitia Mfumo wa Ajira wa Jeshi la Magereza (Tanzania Prisons Service Recruitment Management System (TPSRMS)), kwamba kutakuwa na usaili wa vijana waliokidhi vigezo vya awali. Usaili huo utafanyika Makao Makuu ya Jeshi la Magereza na kwenye Ofisi za Wakuu wa Magereza wa Mikoa kwa tarehe zilizoainishwa katika Tangazo hili. Usaili huo utaanza saa mbili kamili (02:00) asubuhi. Gharama za malazi, chakula na nauli, zitagharamiwa na wahusika.
Pakua PDF hapo chini.
Pakua PDF hapo chini.
Majina ya Waliochaguliwa Magereza 2025
Walioitwa Usaili Mag
Download PDF