Ufadhili Global Korea Scholarship 2025/2026

Ufadhili Global Korea Scholarship 2025/2026 Wizara ya Elimu

Bonyeza hapo juu kujiunge na Group la Form Six Selection 2026 hapa

Gift

Administrator

Staff member
Reputation: 100%
Joined
Oct 19, 2024
Messages
1,648
Umma unajulishwa kuwa Global Korea Scholarship (GKS) ya 2025 imetoa ufadhili wa masomo kwa Watanzania waliokidhi vigezo kwa mwaka wa masomo 2025/2026.

Watanzania wanahimizwa sana kuomba nafasi hizi za ufadhili wa masomo. Maelezo zaidi kuhusu ufadhili huu yanapatikana kwenye tovuti ifuatayo.
Ufadhili Global Korea Scholarship 2025/2026


Bonyeza hapa kutuma maombi sasa
 
Back
Top Bottom