Ufadhili wa Masomo Indonesia 2025 Maombi yanakaribishwa kutoka kwa Watumishi wa Serikali ya Tanzania wenye sifa za kutosha kuomba nafasi za masomo kwa ngazi ya Shahada ya Kwanza, Shahada ya Uzamili, na Shahada ya Uzamivu (PhD) zinazotolewa na Serikali ya Indonesia kupitia Wizara ya Elimu ya Juu, Sayansi na Teknolojia. Masomo haya yanapatikana kupitia KNB Scholarship na UI Great Scholarship kwa mwaka 2025.
Elimu ya Teknolojia na Fursa za Ajira katika Sekta ya IT
#ElimuYaTeknolojia #
Ufadhili wa Masomo Romania 2025
Utumishi
Download PDF