C

Update kuhusiana na majibu ya Interview

Bonyeza hapo kujiunga nasi kupata matangazo mbalimbali ya kazi, Maswali ya Usaili.

Cassy Cruz

New member

Joined
Feb 22, 2026
Messages
1
Habari yako , pole na majukumu ya kazi samahani nlikuwa naomba unisaidie kuuliza kwenye group kuna aliefaulu oral interview ya brac maendeleo iliyofanyika mwezi wa tatu Mkoa wa Arusha na ameshapigiwa simu ya kupewa taratibu zingine. Mm hadi mda huu sijapata update yoyote kutoka brac na sijui kama watu wengine washaitwa.

Nachohitaji kujua na wao hawajapigiwa kama mm au msaada please.
 
Last edited:
Similar content Most view View more
Back
Top Bottom