S shabrani New member Joined Feb 2, 2025 Messages 1 Apr 10, 2025 #1 Ni mara yangu ya kwanza kufanya usaili wa PSRS, kwenye vituo vya usaili wameandika sehemu kadhaa nataka kujua Kwa upande wa DAR-ES- SALAAM ni sehemu gani usaili unafanyika S Msaada wa maswali ya Civil Technician II TBS @ KUHUSU CURRENT ADDRESS
Ni mara yangu ya kwanza kufanya usaili wa PSRS, kwenye vituo vya usaili wameandika sehemu kadhaa nataka kujua Kwa upande wa DAR-ES- SALAAM ni sehemu gani usaili unafanyika S Msaada wa maswali ya Civil Technician II TBS @ KUHUSU CURRENT ADDRESS
S Sia Moderator Staff member Reputation: 49% Joined Oct 20, 2024 Messages 418 Saturday at 1:45 AM #2 Vituo tiari vishawekwa boss, na PDF zimetoka za venue. Upvote 0 Downvote