- Joined
- Dec 12, 2024
- Messages
- 194


Klabu ya Wekundu wa Msimbazi Simba imerudi mezani kufanya mazungumzo na mshambuliaji wa kimataifa kutoka Uganda Denis Omedi, kwaajili ya kuinasa saini yake dirisha dogo la usajili litakalofunguliwa.
Omed tayari amemaliza mkataba na waajiri wake wa zamani Kitara Fc.
Download PDF