Utumishi wametangaza mabadiliko ya usaili NIT l Chuo cha Taifa cha Usafirishaji

Utumishi wametangaza mabadiliko ya usaili NIT l Chuo cha Taifa cha Usafirishaji

Haya hapa Matokeo ya Kidato cha Sita TUNDURU SECONDARY SCHOOL 2026-S0404 yaliyotangazwa na Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA) Katika Mtihani wa Form six (ACSEE) 2026/2027 jumla ya wanafunzi wengi wamefaulu.
Bonyeza hapo juu kujiunge na Group la wanachuo waliomaliza kidato cha sita 2026 hapa baada ya matokeo ya form six 2026

Sia

Moderator

Staff member
Reputation: 100%
Joined
Oct 20, 2024
Messages
1,648
Wasailiwa wa kada zote zilizopangiwa kufanya usaili wa mahojiano tarehe 7 Disemba 2024 katika chuo cha Taifa cha Usafirishaji (NIT) mnajulishwa kuwa kuna mabadiliko ya tarehe ya kufanya usaili huo. Usaili wa mahojiano utafanyika tarehe 6 Disemba 2024 badala ya tarehe iliyotangazwa awali. Aidha mahali na muda wa kufanya usaili utabaki kama ulivyo kwenye tangazo la kuitwa kwenye usaili. Kwa taarifa zaidi tembelea tovuti ya www.ajira.go.tz
Utumishi wametangaza mabadiliko ya usaili NIT l chuo cha Taifa cha Usafirishaji
 
Back
Top Bottom