VITUO VYA USAILI WA KUANDIKA TAREHE 23 APRILI, 2025 - KANDA YA DAR ES SALAAM

VITUO VYA USAILI WA KUANDIKA TAREHE 23 APRILI, 2025 - KANDA YA DAR ES SALAAM AJIRAPORTAL/UTUMISHI

Bonyeza hapo kujiunga nasi kupata matangazo mbalimbali ya kazi, Maswali ya Usaili.
Hivi hapa vituo vya usaili wa kuandika tarehe 23 Aprili 2025 kanda ya Dar Es Salaam kutoka Ajira portal/Utumishi.

Angalia hapa
VITUO VYA USAILI WA KUANDIKA TAREHE 23 APRILI, 2025 - KANDA YA DAR ES SALAAM
 
CHANGES KWENYE ACCOUNT YA AJIRA PORTAL
JE, kutakua na changes katika account ya ajira portal,endapo wakati unaomba labda ulikua dodoma na sasa unaishi dar? Ikiwa tayar umeshabadirisha kwenye personal details katika account!
 
Ulibadilisha lini?
 
Exactly location ya st. Joseph university kama kituo Cha usaili.
Naomba kujua usaili wa tarehe 23/04 utafanyika katika campus ipi ya st. Joseph university dar es salaam.
 
Baada ya majina kutoka
Kama ulibadili majina yalipotoka ulikuwa umechelewa ila sio sana nenda ulipoweka address mpya, ila kama umebadilisha baada ya vituo kutoka nenda kule pa zamani.
 
Exactly location ya st. Joseph university kama kituo Cha usaili.
Naomba kujua usaili wa tarehe 23/04 utafanyika katika campus ipi ya st. Joseph university dar es salaam.
St. Joseph university Dar Es salaam kuna campus ngapi kwani?
 
Similar threads Most view View more
Hatua za Kuuliza swali. Anza na Title ya swali kisha Chini yake weka maelezo kuhusu swali lako.
Back
Top Bottom