VITUO VYA USAILI WA KUANDIKA TAREHE 23 APRILI, 2025 - KANDA YA DAR ES SALAAM

VITUO VYA USAILI WA KUANDIKA TAREHE 23 APRILI, 2025 - KANDA YA DAR ES SALAAM AJIRAPORTAL/UTUMISHI

Haya hapa Matokeo ya Kidato cha Sita TUNDURU SECONDARY SCHOOL 2026-S0404 yaliyotangazwa na Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA) Katika Mtihani wa Form six (ACSEE) 2026/2027 jumla ya wanafunzi wengi wamefaulu.
Bonyeza hapo juu kujiunge na Group la wanachuo waliomaliza kidato cha sita 2026 hapa baada ya matokeo ya form six 2026
Hivi hapa vituo vya usaili wa kuandika tarehe 23 Aprili 2025 kanda ya Dar Es Salaam kutoka Ajira portal/Utumishi.

Angalia hapa
VITUO VYA USAILI WA KUANDIKA TAREHE 23 APRILI, 2025 - KANDA YA DAR ES SALAAM
 
CHANGES KWENYE ACCOUNT YA AJIRA PORTAL
JE, kutakua na changes katika account ya ajira portal,endapo wakati unaomba labda ulikua dodoma na sasa unaishi dar? Ikiwa tayar umeshabadirisha kwenye personal details katika account!
 
Ulibadilisha lini?
 
Exactly location ya st. Joseph university kama kituo Cha usaili.
Naomba kujua usaili wa tarehe 23/04 utafanyika katika campus ipi ya st. Joseph university dar es salaam.
 
Wakati naomba kazi, current resident ilikua iringa, ila kwa sasa nipo dar, nimeenda kubadirisha kwenye account pale kwenye personal details na kuweka current resident dar es salaam
Ulibadilisha lini?
 
Baada ya majina kutoka
Kama ulibadili majina yalipotoka ulikuwa umechelewa ila sio sana nenda ulipoweka address mpya, ila kama umebadilisha baada ya vituo kutoka nenda kule pa zamani.
 
Exactly location ya st. Joseph university kama kituo Cha usaili.
Naomba kujua usaili wa tarehe 23/04 utafanyika katika campus ipi ya st. Joseph university dar es salaam.
St. Joseph university Dar Es salaam kuna campus ngapi kwani?
 
Similar content Most view View more
Back
Top Bottom