- Views: 37K
- Replies: 2
Hivi hapa Viwango vya Mishahara ya Walimu na Nyongeza zao 2025-26 madaraja yote kuanzia cheti, diploma na degree utumishi serikalini.
Pakua PDF hapo chini ya kiwango cha mshahara wa mwalimu kuanzia daraja la III A,B,C masomo yote.
Viwango vya mishahara ya walimu 2025
Hapa kuna jedwali lililopangwa vizuri la Viwango Vya Mishahara ya Walimu 2025 hakuna nyongeza kwa mishahara ya ngazi kama TGTS A, TGTS B, TGTS C, na TGTS D.Pakua PDF hapo chini ya kiwango cha mshahara wa mwalimu kuanzia daraja la III A,B,C masomo yote.
Nafasi za Kazi KNAUF Tanzania
1/05/2025
Download PDF
Last edited by a moderator: