Waliochaguliwa Kidato cha Tano 2026 na Shule walizopangiwa Form Five 2026/2027 Fomu za Kujiuna

Waliochaguliwa Kidato cha Tano 2026 na Shule walizopangiwa Form Five 2026/2027 Fomu za Kujiuna Selection form five

Haya hapa Matokeo ya Kidato cha Sita TUNDURU SECONDARY SCHOOL 2026-S0404 yaliyotangazwa na Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA) Katika Mtihani wa Form six (ACSEE) 2026/2027 jumla ya wanafunzi wengi wamefaulu.
Bonyeza hapo juu kujiunge na Group la wanachuo waliomaliza kidato cha sita 2026 hapa baada ya matokeo ya form six 2026
Waliochaguliwa kidato cha tano 2026 TAMISEMI imetangaza rasmi orodha ya Waliochaguliwa kujiunga form five 2026-27 pamoja na Vyuo vya Kati kwa mwaka wa masomo 2026/2027 leo tarehe 1 June, 2026. Wanafunzi na wazazi sasa wanaweza kuangalia majina ya waliochaguliwa, maarufu kama "Waliochaguliwa Kidato cha Tano na Vyuo vya Kati 2026." pamoja na Shule Walizopangiwa form five 2026 Mikoa Yote hii hapa na fomu za kujiunga.

Tangazo hili ni hatua muhimu kwa wanafunzi wanaohamia kutoka elimu ya Sekondari ya Awali (O-Level) kwenda Sekondari ya Juu (A-Level) hapa nchini Tanzania. Hii ni ishara ya juhudi za wanafunzi pamoja na dhamira ya serikali kuendeleza ubora wa elimu.

Wanafunzi wanahimizwa kuangalia majina yao mapema na kujiandaa kwa safari mpya ya kitaaluma. Hongera kwa wote waliopata nafasi ya kuendelea na masomo yao!

Angalia hapa selection za kidato cha tano 2026.

Orodha ya waliochaguliwa kwenda shule moja

Fomu za kujiunga na kidato cha tano 2026
Waliochaguliwa Kidato cha Tano 2026 na Shule walizopangiwa Form Five 2026/2027 Fomu za Kujiuna
 
Similar content Most view View more
Back
Top Bottom