Hili hapa tangazo la orodha ya majina ya walioitwa kwenye usaili Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji Njombe anapenda kuwataarifu Waombaji wa kazi waliopo kwenye orodha hapa chini kuwa, usaili wa kuandika utafanyika tarehe 22 Julai 2026 Waombaji watakaofaulu usaili huo watapangiwa vituo vya kazi. Usaili utafanyika katika Shule ya Sekondari Njombe (NJOSS) kuanzia saa (01:00.) Moja kamili asubuhi. Aidha wasailiwa wote wanapaswa kuzingatia yafuatayo:
Pakua PDF hapa.
Pakua PDF hapa.