Walioitwa kwenye Usaili Utumishi (PSRS) Taasisi Mbalimbali za Umma Octoba 2024

Walioitwa kwenye Usaili Utumishi (PSRS) Taasisi Mbalimbali za Umma Octoba 2024

Haya hapa Matokeo ya Kidato cha Sita TUNDURU SECONDARY SCHOOL 2026-S0404 yaliyotangazwa na Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA) Katika Mtihani wa Form six (ACSEE) 2026/2027 jumla ya wanafunzi wengi wamefaulu.
Bonyeza hapo juu kujiunge na Group la wanachuo waliomaliza kidato cha sita 2026 hapa baada ya matokeo ya form six 2026

Sia

Moderator

Staff member
Reputation: 100%
Joined
Oct 20, 2024
Messages
1,651
Orodha ya majina ya Walioitwa kwenye Usaili Utumishi (PSRS) Taasisi Mbalimbali za Umma Octoba 2024, Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma (PSRS) ni chombo cha serikali chenye hadhi ya Idara huru kilichoanzishwa mahsusi kuwezesha mchakato wa uajiri wa wafanyakazi katika Utumishi wa Umma. Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma ilianzishwa kwa mujibu wa Sheria ya Utumishi wa Umma Na. 8 ya mwaka 2002, iliyorekebishwa na Sheria Na. 18 ya mwaka 2007, kifungu cha 29(1).

Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya Ofisi ya Taifa ya Mashtaka(NPS),Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Taasisi ya Utafiti wa Uvuvi (TAFIRI), Bodi yaKahawaTanzania (TCB), Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC), Tanzania CommunicationsRegulatoryAuthority (TCRA), Taasisi ya Utafiti wa Wanyamapori Tanzania (TAWIRI), Wakala waChuochaTaifacha Utalii (NCT), Hospitali ya Benjamin Mkapa (BMH), Chuo cha Mipango ya MaendeleoVijijini(IRDP), Wakala wa Huduma ya Ununuzi Serikalini (GPSA), Shirika la Reli Tanzania (TRC), Kampuniya Uendelezaji Jotoardhi Tanzania (TGDC) anapenda kuwataarifu Waombaji Kazi wotewalioombakazikuwa usaili unatarajiwa kuendeshwa kuanzia tarehe 01-11-2024 hadi 18-11-2024 hatimayekuwapangiavituo vya kazi waombaji kazi watakaofaulu usaili huo.Wasailiwa wanaoitwa kwenye usaili wanapaswakuzingatia maelekezo yafuatayo:-
Walioitwa kwenye Usaili Utumishi (PSRS) Taasisi Mbalimbali za Umma Octoba 2024


Soma zaidi:
  1. Nafasi za Kazi Wilaya ya Missenyi - Utumishi Octoba 2024
  2. Ajira Tamisemi 2024/2025
  3. Ajira za afya 2024/2025 Tamisemi na Utumishi
  4. Tamisemi Ajira Mpya 2024/2025
  5. Ajira za walimu 2024/2025 Tamisemi na Utumishi
  6. Sekretarieti ya Ajira 2024/2025
  7. Ajira za watumishi wa umma 2024/2025
  8. Ajira Mpya Utumishi wa Umma
Wasailiwa wote walioitwa kwenye usaili wahakikishe wanaingia kwenye akaunti zao nakunakili nambaya mtihani kwa kuwa namba hizo hazitatolewa iku ya usaili.

Bonyeza sehemu ya Attachment kuona katika PDF hapa chini.
 

Download PDF

Back
Top Bottom