Wydad Athletic Club Kuibomoa Yanga Sc

Wydad Athletic Club Kuibomoa Yanga Sc

Revoo

Member

Reputation: 22%
Joined
Dec 12, 2024
Messages
192
Klabu ya Wydad Athletic imebisha hodi tena Yanga kutaka wachezaji wawili.

Wachezaji hao wawili ni Clement Mzize na Stephane Aziz Ki.
FB_IMG_1736416875163.webp

Yanga iliweka wazi wataanza kusikiliza ofa kwa wachezaji hao wawili ikiwa watafikia dola $800,000 kila mmoja.

Yanga pia imesema haitawaruhusu wachezaji hao kuondoka hasa kutokana na ushiriki wao katika michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika kwani wana nafasi ya kutinga hatua ya robo fainali.

Rulani Mokwena amekuwa wazi na bodi ya Wydad kuwa anataka huduma ya wachezaji hawa wawili kwenye kikosi chake ingawa anajua itakuwa ngumu sana.

Majadiliano yanaendelea.
 
Back
Top Bottom