Wydad Casablanca Bado Wanahitaji Huduma Ya Mzinze Clement Wa Yanga

Wydad Casablanca Bado Wanahitaji Huduma Ya Mzinze Clement Wa Yanga

Revoo

Member

Reputation: 18%
Joined
Dec 12, 2024
Messages
160
Klabu ya Wydad Casablanca imetenga kiasi cha fedha 831,082 US Dollar sawa na kiasi cha Billioni mbili za kitanzania kwaajili ya kunasa saini ya mchezaji Clement Mzize ifikapo dirisha kubwa la usajili.
FB_IMG_1736165519088.webp

Hapo awali klabu ya Wydad Casablanca ilihitaji sana huduma ya nyota huyo anaeichezea klabu ya Young Africans Sc lakini viongozi walitupilia mbali barua yao ya kumsajili Clement Mzize.

Klabu ya Wydad Casablanca imekumbwa na tatizo la kupata mshambuliaji wa kati (CF) ambae ni mzuri kumalizia mipira ya mwisho na ukosefu wa mchezaji kama mzize unapelekea Wydad Casablanca kupata matokeo finyu kwenye mechi zake au kupoteza kabisa.
 
Similar threads Most view View more
Back
Top Bottom