- Joined
- Dec 12, 2024
- Messages
- 182
Kufuatia Mchezo Unaofuata wa Yanga Dhidi Ya Al Hilal, Mchambuzi wa michezo George Ambangile anasema kuwa Yanga SC wasipige hesabu kisa Al hilal kuwa wamefuzu kama utakuwa mchezo mwepesi.
“Yanga SC haitakiwi kumpigia hesabu Al Hilal kwa sababu wamefuzu basi wanaweza kumwachia..! Hapana hilo ni kosa kubwa sana wanabidi waelewe kuwa wanaenda kukutana na Al-Hilal ambayo ipo imara sana.