Yanga Yawakosa Nyota Wake Watatu Kufuatia Mchezo Wa Ungwe Ya Tano Dhidi Ya Al Hilal Kwenye TotalEnergies CAFCL

Yanga Yawakosa Nyota Wake Watatu Kufuatia Mchezo Wa Ungwe Ya Tano Dhidi Ya Al Hilal Kwenye TotalEnergies CAFCL 2024/2025

Haya hapa Matokeo ya Kidato cha Sita TUNDURU SECONDARY SCHOOL 2026-S0404 yaliyotangazwa na Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA) Katika Mtihani wa Form six (ACSEE) 2026/2027 jumla ya wanafunzi wengi wamefaulu.
Bonyeza hapo juu kujiunge na Group la wanachuo waliomaliza kidato cha sita 2026 hapa baada ya matokeo ya form six 2026

Revoo

Member

Reputation: 22%
Joined
Dec 12, 2024
Messages
194
Uongozi soka ya Yanga imethibitisha kuwa klabu hiyo bado inaendelea kuwakosa nyota wao muhimu,Aziz Andambwile, Yao Kouassi Atouholla
na Max Mpia Nzingeli.
FB_IMG_1736326263525.webp

Repoti kutoka kwa daktari wa klabu hiyo Etutu Moses zinaeleza kuwa bado wanaendelea na matibabu kwa wiki chache zijazo.

Isipokuwa Clatous Chama amerejea kikosini kwa safari ya kuwafuata Al Hilal Omdurman.
 
Back
Top Bottom